// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HUKUMU LIGI YA MABINGWA ULAYA; SHINGO YA ARSENAL MACHINJIONI, MAN U, CHELSEA NAO… - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HUKUMU LIGI YA MABINGWA ULAYA; SHINGO YA ARSENAL MACHINJIONI, MAN U, CHELSEA NAO… - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, December 08, 2015

    HUKUMU LIGI YA MABINGWA ULAYA; SHINGO YA ARSENAL MACHINJIONI, MAN U, CHELSEA NAO…

    RATIBA LIGI YA MABINGWA ULAYA
    Leo Jumanne Desemba 8, 2015
    VfL Wolfsburg Vs Manchester United (Saa 3:45 usiku)
    Sevilla Vs Juventus (Saa 3:45 usiku)
    Real Madrid Vs Malmo FF (Saa 3:45 usiku)
    Paris Saint-Germain Vs Shakhtar Donetsk (Saa 3:45 usiku)
    PSV Vs CSKA Moscow (Saa 3:45 usiku)
    Manchester City Vs Borussia Monchengladbach(Saa 3:45 usiku)
    Galatasaray Vs FC Astana (Saa 3:45 usiku)
    Benfica Vs Atletico Madrid (Saa 3:45 usiku)
    Kesho Jumatano Desemba 9, 2015
    Valencia CF Vs Lyon (Saa 3:45 usiku)
    Roma Vs BATE Borisov (Saa 3:45 usiku)
    Olympiakos Vs Arsenal (Saa 3:45 usiku)
    KAA Gent Vs Zenit St Petersburg (Saa 3:45 usiku)
    Dynamo Kyiv Vs Maccabi Tel Aviv (Saa 3:45 usiku) Dinamo Zagreb Vs FC Bayern Munich (Saa 3:45 usiku)
    Chelsea Vs FC Porto (Saa 3:45 usiku)
    Bayer 04 Leverkusen Vs Barcelona (Saa 3:45 usiku)

    Kocha Arsene Wenger wa Arsenal anahitaji ushindi wa ugenini kesho kusonga mbele Ligi ya Mabingwa Ulaya

    MECHI za kuhitimisha hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zinachezwa leo na kesho barani humo, macho na masikio ya wengi yakiwa kwa Arsenal na Manchester United, ambazo zinachungulia mlango wa kutokea.
    United leo watakuwa wageni wa VfL Wolfsburg Uwanja wa Volkswagen Arena katika mchezo wa Kundi B ambao, watahitaji ushindi ili kwenda hatua ya mtoano.
    Kwa sasa United ina pointi nane ikiwa nafasi ya pili nyuma ya Wajerumani hao wenye pointi tisa, lakini PSV inaingia kwenye mchezo wa mwisho nyumbani dhidi ya CSKA Moscow ikiwa na pointi saba.
    Mechi nyingine za leo, ni kati ya Sevilla na Juventus, Real Madrid na Malmo FF, Paris Saint-Germain na Shakhtar Donetsk, Manchester City na Borussia Monchengladbach, Galatasaray na FC Astana na Benfica.
    Arsenal kesho watakuwa wageni wa Olympiakos  katika mchezo wa Kundi F Uwanja wa Georgios Karaiskakis wakihitaji lazima kushinda ili kwenda hatua ya mtoano.
    Kwa sasa Arsenal ina pointi sita katika nafasi ya tatu, nyuma ya Olympiakos wenye pointi tisa na Bayern Munich pointi 12.
    Chelsea watakuwa wenyeji wa FC Porto Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo ambao The Blues watahitaji japo sare tu kujihakikishia kusonga mbele.
    Mechi nyingine za kesho ni kati ya Valencia CF na Lyon, Roma na BATE Borisov, KAA Gent na Zenit St Petersburg, Dynamo Kyiv na Maccabi Tel Aviv na Kiev Olympic, Dinamo Zagreb na Bayern Munich na Bayer 04 Leverkusen na Barcelona.

    Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal ana mtihani mzito Ligi ya Mabingwa Ulaya


    MSIMAMO WA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA ULAYA

    Kundi A



    PWDLGFGAGDPts
    1Real Madrid5410113813
    2Paris Saint-Germain5311101910
    3Shakhtar Donetsk5104712-53
    4Malmo FF5104113-123

    Kundi B



    PWDLGFGAGDPts
    1VfL Wolfsburg53026429
    2Manchester United52215418
    3PSV52126607
    4CSKA Moscow511347-34

    Kundi C



    PWDLGFGAGDPts
    1Atletico de Madrid531192710
    2Benfica531196310
    3Galatasaray511359-44
    4FC Astana5032410-63

    Kundi D



    PWDLGFGAGDPts
    1Juventus532062411
    2Manchester City53028629
    3Borussia Monchengladbach512268-25
    4Sevilla5104711-43

    Kundi E



    PWDLGFGAGDPts
    1Barcelona54101431113
    2Roma51221116-55
    3Bayer 04 Leverkusen5122121115
    4BATE Borisov5113512-74

    Kundi F

    PosTeamPWDLGFGAGDPts
    1FC Bayern Munchen54011731412
    2Olympiakos5302610-49
    3Arsenal5203910-16
    4Dinamo Zagreb5104312-93

    Kundi G



    PWDLGFGAGDPts
    1Chelsea5311113810
    2FC Porto531196310
    3Dynamo Kyiv52217438
    4Maccabi Tel Aviv5005115-140

    Kundi H



    PWDLGFGAGDPts
    1Zenit St Petersburg5500124815
    2KAA Gent52126607
    3Valencia CF520357-26
    4Lyon501439-61
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HUKUMU LIGI YA MABINGWA ULAYA; SHINGO YA ARSENAL MACHINJIONI, MAN U, CHELSEA NAO… Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top