// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ENGLAND YAPANGWA NA WALES EURO 2016, KUNDI C NA D NI BALAA TUPU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ENGLAND YAPANGWA NA WALES EURO 2016, KUNDI C NA D NI BALAA TUPU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 12, 2015

    ENGLAND YAPANGWA NA WALES EURO 2016, KUNDI C NA D NI BALAA TUPU

    MAKUNDI EURO 2016
    Kundi A; Ufaransa, Romania, Albania na Uswisi
    Kundi B; England, Urusi, Wales na Slovakia 
    Kundi C; Ujerumani, Ukraine, Poland na Ireland Kaskazini 
    Kundi D; Hispania, Jamhuri ya Czech, Uturuki na Croatia 
    Kundi E; Ubelgiji, Italia, Jamhuri ya Ireland na Sweden
    England itamenyana na Wales, Slovakia na Urusi katika hatua ya makundi Euro 2016 Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA

    TIMU ya taifa England imepangwa kundi moja na Wales katika Euro 2016 ambalo linatarajiwa kuwa moja ya makundi yenye msisimko kuelekea michuano hiyo ya Ufaransa mwakani.
    Mechi itakayohusisha nyota wa Wales, Gareth Bale na Aaron Ramsey dhidi ya nyota wa England, Wayne Rooney na Raheem Sterling inatarajiwa kuwa utamu wa kipekee.
    Mechi hiyo inatarajiwa kufanyika mjini Lens, kaskazini mwa Ufaransa ambako ni umbali wa saa mbili kutoka London, huku malefu ya mashabiki wa Uingereza wakitarajiwa kulundikana katika Uwanja wenye uwezo wa kumeza mashabiki 38,000 wa Bollaert Delelis Alhamisi ya Juni 16.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YAPANGWA NA WALES EURO 2016, KUNDI C NA D NI BALAA TUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top