// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BARCELONA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 2-2 NYUMBANI CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BARCELONA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 2-2 NYUMBANI CAMP NOU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 12, 2015

    BARCELONA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 2-2 NYUMBANI CAMP NOU

    Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akimtoka Laureano 'Laure' Sanabria wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zimetoka 2-2, mabao ya Barca yakifungwa na Lionel Messi na Ivan Rakitic ya Deportivo yakifungwa na Lucas Perez na Alejandro Bergantinos PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAPUNGUZWA KASI LA LIGA, YATOA SARE 2-2 NYUMBANI CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top