Nahodha wa Barcelona, Andres Iniesta akiwa ameshika Kombe la Klabu Bingwa ya Dunia walilotwaa leo baada ya kuifunga River Plate ya Argentina mabao 3-0 mjini Yokohama, Japan. Mabao ya Barca yamefungwa na Luis Suarez mawilki na Lionel Messi moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Performance of a lifetime!' GB's Atkin wins halfpipe gold
-
Watch as Great Britain's Zoe Atkin pulls of an incredible second run to win
gold in the freeski halfpipe final at the Freestyle Ski and Snowboard World
Cha...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment