// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Thursday, December 31, 2015

        AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI

        Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akijaribu kufumua shuti langoni mwa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
        Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya beki wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid 'Baba Ubaya'
        Beki wa Mtibwa Sugar,Andrew Vincent akipambana na mshambuliaji wa Mtibwa Sugar
        Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche (kulia) akiwatoka wachezaji wa Mtibwa
        Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akipasua katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
        Kikosi cha Azam FC jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry