// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, December 28, 2015

        AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI

        Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka beki wa Kagera Sugar, Salum Kanoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 2-0
        Didier Kavumbangu wa Azam FC, akimuacha chini beki wa Kagera Sugar
        Kavumbangu (kushoto) akimpitakwa maarifa ya kiwango cha juu beki wa Kagera Sugar
        Winga wa Azam FC, Farid Mussa akiwachambua wachezaji wa Kagera Sugar
        Beki Shomary Kapombe wa Azam FC, akijiandaa kutia krosi mbele ya beki wa Kagera Sugar
        Kipre Tchetche (kushoto) akipambana na Salum Kanoni jana

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA UWANJA WA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry