
Thursday, December 31, 2015

KOCHA wa timu ya taifa ya Uganda, 'The Cranes' Mseribia Milutin Sredojevic 'Micho' ametaja kikosi cha Michuano ya Ubingwa w...
SIMBA SC WALALAMIKA KUFANYIWA FUJO, KUPIGWA MAWE MAZOEZINI MTWARA LEO
Thursday, December 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, MTWARA WACHEZAJI wa Simba SC wamefanyiwa vurugu leo asubuhi wakati wakifanya mazoezi Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini ...
POWER DYNAMOS YAKOPESHWA KINDA MWENYE KIPAJI CHA HATARI ZAMBIA
Thursday, December 31, 2015
KLABU ya Power Dynamos imemsajili mshambuliaji anayeichupukia vizuri, Conlyde Luchanga (pichani kushoto) kutoka Lusaka Dynamos. Timu hi...
EDIBILY LUNYAMILA NA SEKILOJO CHAMBUA WALIKUWA 'WASHIKAJI' SANA
Thursday, December 31, 2015
Wachezaji nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) na Sekilojo Chambua (kushoto) wakiwa Uwanja wa...
MAN UNITED 'WAENDEA MBIO' SAINI YA KIUNGO MBRAZIL WA LAZIO
Thursday, December 31, 2015
KLABU ya Manchester United ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili kiungo Lazio, Felipe Anderson katika jitihada zake za kusaka kiungo mbunifu....
YANGA SC WAPAA KESHO ZANZIBAR KUFUATA KOMBE LA MAPINDUZI TANGU 2008
Thursday, December 31, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC inafanya mazoezi ya mwisho leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam na kesho itapanda boti kwenda Zan...
AZAM FC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA CHAMAZI
Thursday, December 31, 2015
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akijaribu kufumua shuti langoni mwa Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara j...
BENTEKE AING'ARISHAA LIVERPOOL ENGLAND, APIGA BAO PEKE SUNDERLAND YAFA 1-0 NYUMBANI
Thursday, December 31, 2015
Mshambuliaji Christian Benteke akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool ikiilaza 1-0 Sunder...
RONALDO APIGA MBILI, AKOSA PENALTI REAL YAUA 3-1 LA LIGA
Thursday, December 31, 2015
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kukosa penalti katika mchezo wa La Liga dhidi ya Real Sociedad usiku ...
MESSI AIFUNGIA BARCA AKICHEZA MECHI YA 500, SUAREZ APIGA MBILI...REAL YAFA 4-0
Thursday, December 31, 2015
Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akipongezwa na wachezaji wenzake usiku huu baada ya kufunga akiichezea mechi ya 500 timu hiyo katika ush...
Wednesday, December 30, 2015
AZAM YAIPOKONYA YANGA ‘KITI CHA UFALME’ LIGI KUU, BOCCO AWAANGAMIZA MTIBWA SUGAR CHAMAZI
Wednesday, December 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO la Nahodha John Raphael Bocco (pichani kushoto) dakika ya 86, limeirejesha Azam FC kileleni mwa Li...
UZINDUZI WA HOME COMING NA AZAM TV JANA MLIMANI CITY
Wednesday, December 30, 2015
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye akihojiwa na watangazaji wa Azam TV, wakati wa uzinduzi wa filamu ya Home Coming ukumb...
MALINZI: 2016 UTAKUWA MWAKA WA MAFANIKIO KWA SOKA YA TANZANIA
Wednesday, December 30, 2015
"Ndugu zangu, Kwa niaba ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kupitia kwenu wanahabari ninaomba nitoe salam za mwaka za Shirikisho ...
SAMATTA: DILI LA GENK ASILIMIA 90 SAFI
Wednesday, December 30, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema mpango wa kujiunga na KRC Genk ya Ubel...
ZAMBIA YAWAHUSISHA WANAOCHEZA NJE KIKOSI CHA CHAN 2016 RWANDA
Wednesday, December 30, 2015
Sinkala anajifaua na kikosi cha CHAN TIMU ya taifa ya Zambia imewajumuisha wachezaji wake wanaocheza je katika kambi ya maandalizi ya M...
MAN CITY NA LEICESTER CITY ZAGAWANA POINTI LIGI KUU ENGLAND
Wednesday, December 30, 2015
Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy (kushoto) akipambana na beki wa Manchester City Nicolas Otamendi katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
NATAMANI YANGA WAMSAMEHE, LAKINI NAPENDA NAYE ABADILIKE
Wednesday, December 30, 2015
BINAFSI bado sijaamini kama kiungo mtaalamu Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima amevunjiwa Mkataba Yanga SC. Nadhani kama anatikiswa, lakin...
Tuesday, December 29, 2015
RATIBA MPYA KOMBE LA MAPINDUZI, MECHI ZA SIMBA SC ZASOGEZWA MBELE
Tuesday, December 29, 2015
PLUIJM: NIMEFUTA JINA LA HARUNA KWENYE DAFTARI LANGU
Tuesday, December 29, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba amekwishamuondoa kiungo Haruna Hakizi...
SIMBA SC ‘WAPANGUA’ RATIBA KOMBE LA MAPINDUZI, WAWASHITAKI MAREFA TFF
Tuesday, December 29, 2015
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeomba Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kiusogeze mbele mchezo wake wa ufunguzi Kombe la Mapinduzi...
MAGURI NDIYE MKALI WA MABAO TANZANIA KWA SASA, AWAPELEKA PUTA WAGENI LIGI KUU
Tuesday, December 29, 2015
WANAFUKUZANA KWA MABAO LIGI KUU 1: Tambwe Amissi 10 2: Elias Maguri 9 3: Donald Ngoma 8 4: Hamisi Kiiza 8 5: Kipre Tch...
Subscribe to:
Posts (Atom)