Na Ali Bakari, ZANZIBAR
KOCHA Msaidizi wa timu ya ya taifa Zanzibar, Zanzibar Heroes, Malale Hamsini Keya asubuhi ya leo ametaja kikosi cha awali cha wanandinga 29 watakaoingia kwenye mchujo wa kutafuta wachezaji 20 kwa ajili ya mashindano ya CECAFA Challenge Cup yanaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu nchini Ethiopia.
Malale ambaye ambaye pia anaifundisha klabu ya JKU ambayo itaiwakilisha Zanzibar kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho la Afrika mwakani, amewataja wachezaji hao kuwa ni:
Makipa: Mwadini Ali (Azam), Moh'd Abrahman (JKU), Mwalim Ali (Prisons) na Idrissa Ali (Hardrock).
Mabeki ni Mwinyi Hajji Mngwali (Yanga), Nassor Masoud ‘Chollo’ (Stand United), Samih Haji Nuhu (Simba), Adeyum Saleh (Coastal Union), Ponsiana Malik (JKU), Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (Yanga), Aggrey Morris (Azam), Khamis Ali Khamis (KMKM), Said Mussa (Mafunzo) na Issa Haidari (JKU).
Viungo: Awadh Juma Issa (Simba), Mudathir Yahya (Azam), Said Makapu (Yanga), Moh'd Abdulrahim Mbambi (Mafunzo), Khamis Mcha (Azam), Ismail Khamis (Azam), Rashid Abdallah (Mafunzo), Silima Kassim (Stand United), Omar Juma (Hardrock) na Mbarouk Chande (JKU).
Washambuliaji: Ibrahim Hilika (Zimamoto), Jaku Joma (Mafunzo), Mateo Anthony Simon (Yanga), Abrahman Othman (Jang’ombe Boys) na Ame Ali ‘Zungu’ (Azam).
Wachezaji hao watakutana na makocha Jumapili wiki hii kwa ajili ya kuanza mazoezi Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
Mashindano hayo ya CECAFA Challenhe Cup yanatarajiwa kufanyika kwenye miji mitatu ya Addis Ababa, Awassa na Bahir Dar nchini Ethiopia baadaye mwezi huu.

Ame Ali wa Azam FC (kulia) ameitwa Zanzibar Heroes |

0 comments:
Post a Comment