Danny Rose wa Tottenham Hotspur akimtoka Diafra Sakho wa West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa White Hart Lane. Spurs imeshinda 4-1, mabao yake yakifungwa na Harry Kane mawili, Toby Alderweireld na Kyle Walker moja kila mmoja, huku la West Ham likifungwa na Manuel Lanzini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Opposition watch: Keeping a close eye on Forest
-
Tuesday's Premier League opponents progressed in the Emirates FA Cup on
Saturday.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment