Friday, November 13, 2015

    ULIMWENGU ANAPOPOZA KOO KWA MAJI YA UHAI, HUKU AKIWAPIGIA HESABU WAARABU

    Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akinywa maji maarufu nchini, Uhai yanayotengenezwa na kampuni ya Bakhresa Group Limited, baaada ya mapumziko mafupi katika mazoezi ya jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam huku akionekana kutafakari jambo kuelekea mchezo dhidi ya Algeria kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ULIMWENGU ANAPOPOZA KOO KWA MAJI YA UHAI, HUKU AKIWAPIGIA HESABU WAARABU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry