• HABARI MPYA

        Wednesday, November 18, 2015

        TAIFA STARS SAFARINI KUREJEA NYUMBANI BAADA YA KIPIGO CHA JANA ALGIERS

        Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene mjini Algiers tayari kwa safari ya kurejea nyumbani kupitia Istanbul, Uturuki baada ya mchezo wao wa jana dhidi ya wenyeji, Algeria walioshinda 7-0 na kufuzu hatua ya mwisho ya mchujo wa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. 



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TAIFA STARS SAFARINI KUREJEA NYUMBANI BAADA YA KIPIGO CHA JANA ALGIERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry