// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); OLUNGA AIBEBA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA, NIGERIA, GHANA ZALAZIMISHWA SARE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE OLUNGA AIBEBA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA, NIGERIA, GHANA ZALAZIMISHWA SARE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, November 14, 2015

    OLUNGA AIBEBA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA, NIGERIA, GHANA ZALAZIMISHWA SARE

    MATOKEO MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA AFRIKA
    Novemba 13, 2015  
    Mauritania 1-2 Tunisia
    Swaziland 0-0 Nigeria
    Liberia 0-1 Ivory Coast
    Niger 0-3 Cameroon
    Angola 1-3 Afrika Kusini
    Libya 1-0 Rwanda
    Kenya 1-0 Cape Verde
    Comoro 0-0 Ghana
    Madagascar 2-2 Senegal
    Novemba 12, 2015  
    Morocco 2-0 Equatorial Guinea
    Togo 0-1 Uganda
    Benin 2-1 Burkina Faso
    Namibia 0-1 Guinea
    Burundi 2-3 DRC
    Novemba 11, 2015  
    Msumbiji 1-0 Gabon
    Sudan 0-1 Zambia
    Michael Olunga ameifungia bao pekee Kenya jana kufuzu Kombe la Dunia

    BAO pekee la Michael Olunga limeipa ushndi mwembamba wa 1-0 nyumbani, Kenya dhidi ya Carpe Verde katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Nyayo, Nairobi.
    Mechi nyingine za jana Swaziland imelazimisha sare ya 0-0 na Nigeria sawa Comoros iiliyotoka 0-0 pia na Ghana, wakati Mauritania imefungwa nyumbani 2-1 na Tunisia, Liberia imefungwa pia nyumbani 1-0 na Ivory Coast.
    Cameroon imeshinda 3-0 ugenini dhidi ya Niger, Angola imefungwa 3-1 nyumbani na Afrika Kusini, Libya imeshinda 1-0 nyumbani dhidi ya Rwanda, Kenya imeshinda 1-0 nyumbani dhidi ya Cape Verde na Madagascar imetoa sare ya 2-2 nyumbani na Senegal.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: OLUNGA AIBEBA KENYA KUFUZU KOMBE LA DUNIA, NIGERIA, GHANA ZALAZIMISHWA SARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top