TIMU ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Nigeria, Golden Eaglets imetwaa ubingwa wa Dunia wa vijana wa umri wa huo baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mali jana nchini Chile. Ushindi huo unamaanisha kwamba Nigeria imetetea taji lao ililolitwaa miaka miwili iliyopita Falme za Kiarabu (UAE). Mabao ya haraka haraka ya kipindi cha pili ya Victor Osimhen na Funsho Bamgboye yalitosha kukihakikishia taji hilo kikosi cha Emmanuel Amuneke, hilo likiwa taji la tano la dunia kwa U17. Hii ni mara ya kwanza Nigeria wanatwaa taji hilo nje ya Asia, baada ya mataji yao ya awali kubeba China mwaka 1985, Japan mwaka 1993, Jamhuri ya Korea mwaka 2007 na UAE mwaka 2013.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment