• HABARI MPYA

        Thursday, November 26, 2015

        AIRTEL TANZANIA YAZIPIGA JEKI TASWA ZOTE KWA VIFAA VYA MICHEZO

        Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, TASWA FC, Majuto Omary kwa ajili ya kutumika katika mechi zao. 
        Mmbando akimkabidhi vifaa vya michezo, mmoja wa wachezaji wa timu ya Netiboli ya waandishi wa Habari za Michezo Tanzania, TASWA Queens, Imani Makongor. Anayeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AIRTEL TANZANIA YAZIPIGA JEKI TASWA ZOTE KWA VIFAA VYA MICHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry