// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WACHEZAJI TAIFA STARS SAFARINI LILONGWE KUIFUATA MALAWI KUMALIZANA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WACHEZAJI TAIFA STARS SAFARINI LILONGWE KUIFUATA MALAWI KUMALIZANA KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, October 09, 2015

    WACHEZAJI TAIFA STARS SAFARINI LILONGWE KUIFUATA MALAWI KUMALIZANA KOMBE LA DUNIA

    Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wakubwa ya Tanzania 'Taifa Stars', Thomas Ulimwengu akiwaongoza wenzake kuijgia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kwa safari ya Lilongwe, Malawi kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji Jumapili mchezo wa mchujo wa awali kuwania kupangwa kwenye makundi ya kugombea tiketi ya Kombe la Dunia 2018 Urusi.

    Kutoka kulia, Kevin Yondan, Deus Kaseke na Mohammed Hussein 'Tshabalala' 

    Kutoka kulia John Bocco, Ibrahim Hajib, Hassan Isihaka na Aishi Manula

    Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' (kulia) akiwa na Dk Gilbert Kigadye

    Thomas Ulimwengu (kulia) akifurahia na Mrisho Ngassa na Mkuu wa Msafara, Ahmed Iddi 'Mgoyi'

    Kocha Mkuu, Charles Boniface Mkwasa (kulia) akiwa na Mbwana Samatta

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI TAIFA STARS SAFARINI LILONGWE KUIFUATA MALAWI KUMALIZANA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top