// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); UJUMBE KUTOKA KWA WACHEAJI WA SIMBA SC KUELEKEA UCHAGUZI MKUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE UJUMBE KUTOKA KWA WACHEAJI WA SIMBA SC KUELEKEA UCHAGUZI MKUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 15, 2015

    UJUMBE KUTOKA KWA WACHEAJI WA SIMBA SC KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

    Wachezaji wa Simba SC,wakiwa wameshika bango la kuitakia nchi Uchaguzi mwema lenye ujumbe wa Tanzania Kwanza, Amani, Upendo na Umoja kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City Jumamosi Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Tanzania inatarajiwa kufanya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UJUMBE KUTOKA KWA WACHEAJI WA SIMBA SC KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top