• HABARI MPYA

        Monday, October 26, 2015

        UGANDA NAO WAFUZU CHAN YA RWANDA 2016, WAIPIGA SUDAN 2-0 KHARTOUM

        Wachezaji wa Uganda wakicheza kwa furaha baada ya ushindi wa mabao 2-0 jana Uwanja wa Kimataifa wa Khartoum, Sudan dhidi ya wenyeji wao hao katika mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu kufuzu michuano ya CHAN mwakani nchini Rwanda. Mabao ya The Cranes yalifungwa na Caeser Okhuti na Nahodha Faruku Miya na sasa Uganda inafuzu CHAN ya tatu mfululizo kwa ushindi wa jumla wa 4-0 baada ya wiki iliyopita kushinda 2-0 Kampala.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: UGANDA NAO WAFUZU CHAN YA RWANDA 2016, WAIPIGA SUDAN 2-0 KHARTOUM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry