// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS WALIVYOWASILI DAR KISHUJAA MCHANA HUU BAADA YA KUING'OA MALAWI KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS WALIVYOWASILI DAR KISHUJAA MCHANA HUU BAADA YA KUING'OA MALAWI KOMBE LA DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, October 12, 2015

        TAIFA STARS WALIVYOWASILI DAR KISHUJAA MCHANA HUU BAADA YA KUING'OA MALAWI KOMBE LA DUNIA

        Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) na Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub 'Cannavaro' wakiongoza msafara wa timu hiyo kuteremka kwenye ndege baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam mchana wa leo, wakitokea Malawi. Stars jana ilifungwa 1-0 na Malawi Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre katika mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo kuwania tiketi ya Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi, hata hivyo wamekwenda hatua ya mwisho ya mchujo kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam na saa itamenyana na Algeria mwezi ujao 

        Mbele kulia ni Hassan Isihaka, kushoto John Bocco na nyuma kulia Ally Mustafa 'Barthez' na kushoto  Simon Msuva



        Ndani ya ndege kulia Barthez na kushoto Aishi Manula

        Mshauri wa Ufundi, Abdallah Kibadeni (kulia) na beki Mohammed Hussein

        Aishi Manula kulia na Kevin Yondan

        Shabiki Papa Ziota akipiga picha na kocha Mkwasa

        Mwandishi wa Habari, Edo kumwembe akipewa maelekezo na muhudumu wa kwenye ndege 



        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOWASILI DAR KISHUJAA MCHANA HUU BAADA YA KUING'OA MALAWI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry