Taifa Stars iliyowasili leo jioni mjini Blantyre baada ya safari kutwa nzima kutoka nzima kutoka Dar es Salaam kuanzia ndege hadi basi, ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani |
Pamoja na uchovu wa safari ya kutwa, lakini vijana walifanya mazoezi leo |
Jumapili Taifa Stars itahitaji hata sare ii kusonga mbele, ambako itakutana na Algeria katika hatua ya mwisho ya mchujo |
Wachezaji wote waliokuja na timu hapa wamefanya mazoezi leo |
Wachezaji wakiomba dua baada ya mazoezi yao usiku wa leo |
0 comments:
Post a Comment