// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS NA MALAWI ZILIVYOMENYANA JANA UWANJA WA KAMUZU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS NA MALAWI ZILIVYOMENYANA JANA UWANJA WA KAMUZU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 12, 2015

    TAIFA STARS NA MALAWI ZILIVYOMENYANA JANA UWANJA WA KAMUZU

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Malawi katika mchezo wa marudiano hatua ya kwanza ya mchujo wa kuwania kupangwa kwenye makundi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018 jana Uwanja wa Kamuzu, Blantyre. Malawi ilishinda 1-0 lakini Tanzania imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda 2-0 Dar es Salaam.

    Mrisho Ngassa wa Tanzania akimtoka beki wa Malawi, Isaac Kaliyati

    Mrisho Ngassa (kulia) akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Malawi, Limbikani Mzava

    Thomas Ulimwengu wa Tanzania akiambaa na mpira dhidi ya wachezaji wa Malawi

    Kiungo wa Tanzania, Said Ndemla akipambana katikati ya wachezaji wa Malawi

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta alishindwa kufunga dakika ya kwanza akiwa amebaki na kipa wa Malawi, Simplex Nthala

    Kiungo wa Tanzania, Himid Mao akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Malawi, John Banda

    Beki wa Tanzania, Mwinyi Mngwali akiruka na Gerald Phiri wa Malawi kuwania mpira wa juu

    Beki wa Tanzania, Kevin Yondan akiruka na Chiukepo Msowoya wa Malawi kuwania mpira wa juu

    Mshambuliaji wa Tanzania, John Bocco akiambaa na mpira katikati ya wachezaji wenzake 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA MALAWI ZILIVYOMENYANA JANA UWANJA WA KAMUZU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top