// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UWANJA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UWANJA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 08, 2015

    TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UWANJA TAIFA

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwatoka wachezaji wa Malawi katika mchezo wa kwanza wa mchujo kuwania kupangwa kwenye makundi ya kugombea tiketi ya Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Tanzania ilishinda 2-0 jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, mabao ya Samatta na mchezaji mwenzake wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Emmanuel Ulimwengu.
    Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akiwatoka mabeki wa Malawi
    Mbwana Samatta akimlamba chenga kipa wa Malawi, Simplex Nthala kabla ya kufunga bao la kwanza
    Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Malawi, Yamkani Fadya
    Kiungo chipukizi wa Tanzania, Farid Mussa akimtoka beki wa Malawi, Stanley Sanudi
    Beki wa Tanzania, Shomary Kapombe akimtoka beki wa Malawi, Gerald Phiri

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA MALAWI KATIKA PICHA JANA UWANJA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top