![]() |
Pape N'daw akigombea mpira wa juu na wachezaji wa Prisons |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
Winga wa mkopo Simba SC kutoka Azam FC, Joseph Kimwaga (kushoto) akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Prisons |
![]() |
Pape N'daw (kulia) akimtoka beki wa Prisons |
![]() |
Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya Prisons |
0 comments:
Post a Comment