// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NDANDA KOSOVO TAABANI KITANDANI, ANATAPIKA DAMU NA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENDANDA KOSOVO TAABANI KITANDANI, ANATAPIKA DAMU NA... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NDANDA KOSOVO TAABANI KITANDANI, ANATAPIKA DAMU NA...
Pichani Ndanda akiwa amelazwa hospitali na picha ndogo ni matapishi ya damu
MWIMBAJI na rapa maarufu hapa nchini, Ndanda Kosovo hali yake si shwari na amelazwa hospitali kwa maumivu ya tumbo yanayomsababishia kutapika damu. Kwa mujibu wa Saluti5.com Ndanda aliyetesa na bendi ya FM Academia na Stono Musica, amelazwa katika hospitali ya PKA iliyoko Tegeta jijini Dar es Salaam. Msanii huyo mcheshi ameimbia Saluti5 kwa njia ya simu kuwa amelazwa hapo tangu jana (Jumatano) ambapo tatizo kubwa ni kupasuka kwa mmoja ya mishipa tumboni. Ndanda amesema amekuwa akitapika damu, lakini madaktari wanajitahidi kudhibiti tatizo.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment