// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MBWEMBWE ZA SAMATTA..."NIMEZALIWA KUFUNGA, NAMBA 10 NAITENDEA HAKI" - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MBWEMBWE ZA SAMATTA..."NIMEZALIWA KUFUNGA, NAMBA 10 NAITENDEA HAKI" - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, October 07, 2015

    MBWEMBWE ZA SAMATTA..."NIMEZALIWA KUFUNGA, NAMBA 10 NAITENDEA HAKI"

    Mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza la Taifa katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Malawi jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Samata alipiga goti kwenye mstari wa lango na kuonyesha namba ya bukta yake (10) kwe wenzake.  Katika mechi hiyo ya kwanza ya mchujo wa kufuzu Kombe la Dunia, bao linigine akifunga mvaa jezi namba 11, Thomas Ulimwengu ambaye kama Samatta wanachezea TP Mazembe ya DRC.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBWEMBWE ZA SAMATTA..."NIMEZALIWA KUFUNGA, NAMBA 10 NAITENDEA HAKI" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top