Kiungo Said Ndemla akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji Thomas Ulimwengu |
Viungo Himid Mao (kushoto) na Said Ndemla wakigombea mpira |
Mabeki Kevin Yondan (kulia) na Mohammed Hussein 'Tshabalala' wakiwania mpira wa juu |
Winga Farid Mussa akiambaa na mpira mbele ya Hassan Isihaka na Mbwana Samatta |
Kiungo Mrisho Khalfan Ngassa akinywa maji wakati wa mapumziko ya mazoezi hayo |
Kocha Charles Boniface Mkwasa akimuelekeza jambo Msaidizi wake, Hemed Morocco (kulia) |
Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' (kushoto) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya kukimbia |
Baadhi ya viongozi na Watanzania waliokuja kuisapoti Taifa Stars mjini hapa |
Baadhi ya Watanzania waliokuja kuisapoti Taifa Stars mjini hapa
0 comments:
Post a Comment