// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAMBO YA MRISHO NGASSA NDANI YA 'SAUZI' SI MCHEZO, KIJANA ANAWACHUKUA TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAMBO YA MRISHO NGASSA NDANI YA 'SAUZI' SI MCHEZO, KIJANA ANAWACHUKUA TU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, October 06, 2015

    MAMBO YA MRISHO NGASSA NDANI YA 'SAUZI' SI MCHEZO, KIJANA ANAWACHUKUA TU!

    Mshambuliaji wa Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Ngassa akipiga mpira dhidi ya mchezaji wa Bidvest Wits katika mchezo wa 16 Bora ya Kombe la Telkom Knockout Jumamosi Uwanja wa Goble Park, Bethelehem. Stars ilishinda 1-0 na kufuzu Robo Fainali ya michuano hiyo

    Ngassa katikati ya wachezaji wa Bidvest Wits

    Ngassa akipasua uwanjani

    Kikosi cha Free State kilichoifunga 1-0 Bidvest Wits, Ngassa wa pili kulia walioinama

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YA MRISHO NGASSA NDANI YA 'SAUZI' SI MCHEZO, KIJANA ANAWACHUKUA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top