// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIZZA 'DIEGO' MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIZZA 'DIEGO' MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, October 05, 2015

    KIZZA 'DIEGO' MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA SIMBA SC

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr akimkabidhi tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa klabu, mshambuliaji Mganda, Hamisi Kizza 'Diego' jioni ya katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambako timu hiyo imefanya mazoezi leo. Kiiza amefunga mabao matano Septemba na kuisaidia Simba SC kuanza vizuri Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na tuzo hiyo imeambatana na fedha taslimu Sh. 500,000.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIZZA 'DIEGO' MCHEZAJI BORA WA MWEZI SEPTEMBA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top