Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Suleiman Rajab akimtoka beki wa JKT Ruvu, George Minja aliyelala chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 0-0.
![]() |
Beki wa JKT Ruvu, George Minja akipiga mpira katikati ya wachezaji wa Mtibwa Sugar |
![]() |
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohammed Ibrahi akimtoka beki wa JKT Ruvu, Nurdin Mohammed |
![]() |
Kiungo wa JKT Ruvu, Hamisi Shango akimgeuza beki wa Mtibwa Sugar, Rodgers Freddy |
![]() |
Kiungo wa Mtibwa, Muzamil Selemba akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa JKT Ruvu, Paul Mhoze |
0 comments:
Post a Comment