// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); FRANCIS CHEKA NA RASHID MATUMLA KUPANDA ULINGONI TENA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE FRANCIS CHEKA NA RASHID MATUMLA KUPANDA ULINGONI TENA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, October 15, 2015

    FRANCIS CHEKA NA RASHID MATUMLA KUPANDA ULINGONI TENA?

    Mabondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Rashid Matumla (kulia) na Francis Cheka (kushoto) walipiga picha ya pamoja Jumatatu baada ya kukutana ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam katika sherehe za Wanamichezo kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anayemaliza muda wake Oktoba 25, mwaka huu zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA).
    Matumla mwenye umri wa miaka 47, kwa sasa amestaafu lakini amewahi kupigana mara nne na Cheka mwenye miaka 33 sasa na kushinda mara moja, akishindwa mara tatu. Rashid alishinda pambano la kwanza kabisa na Cheka Januari 23, mwaka 2003 Dar es Salaam kwa Knockout (KO) raundi ya tatu, wakati Aprili 25, mwaka 2004, Machi 11, mwaka 2007 Dar es Salaam na Februari 13, mwaka 2009 Morogoro, mara zote Matumla alishindwa kwa pointi. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FRANCIS CHEKA NA RASHID MATUMLA KUPANDA ULINGONI TENA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top