• HABARI MPYA

        Wednesday, October 21, 2015

        AZAM FC NDANI YA MTWARA TAYARI KWA MTANANGE NA NDANDA KESHO NANGWANDA

        Wachezaji wa Azam FC raia wa Ivory Coast, kiungo Kipre Balou (kulia) na beki Serge Wawa (kushoto) baada ya kuwasili mjini Mtwara jana usiku tayari kwa mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji Ndanda FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.
        Nahodha wa Azam FC, John Bocco (kulia) akiwa kwenye basi wakati wa safari na beki Said Mourad nyuma yake

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: AZAM FC NDANI YA MTWARA TAYARI KWA MTANANGE NA NDANDA KESHO NANGWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry