Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0
Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma akiwatoka wachezaji wa Prisons
Beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite akitafuta maarifa ya kumtoka mshambuliaji wa Prisons, Jeremiah Juma
Ngoma akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimtoka James Josephat wa Prisons
Beki wa Prisons, Nurdin Chona akiudhibiti mpira dhidi ya Godfrey Mwashiuya wa Yanga
Media Accreditation for Uganda Vs Namibia
-
FUFA wishes to inform members of the sports media that the application
process for accreditation to cover the Women’s U17 World Cup Qualifier
match betwe...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment