// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA JKT MGAMBO KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA JKT MGAMBO KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, September 17, 2015

    SIMBA SC NA JKT MGAMBO KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA

    Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi (kushoto) akimtoka mshambuliaji wa JKT Mgambo, Fuluzulu Maganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwawani, Tanga. Simba SC ilishinda 2-0
    Mshambuliaji wa Simba SC, Mussa Mgosi akiwania mpira dhidi ya beki wa Mgambo, Bashiru Chanache
    Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akiwania mpira dhidi ya winga wa Mgambo, Chande Magoja
    Kiungo wa Simba SC, Justuce Majabvi akimdhibiti beki wa Mgambo, Salim Kipaga
    Kiungo wa Mgambo, Mohammed Samatta akienda hewani kupiga mpira juu dhidi ya wachezaji wa Simba SC
    Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akimuachaa chini Fuluzulu Maganga wa JKT
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA JKT MGAMBO KATIKA PICHA MKWAKWANI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top