VIGOGO wa NFL, Dallas Cowboys wameipiku Real Madrid na kuwa timu ya michezo yenye thamani kubwa zaidi duniani.
The Cowboys, ambayo inamilikiwa na mfanyabiashara Mmarekani, Jerry Jones, inasemekana ina thamani ya dola za Kimarekani Bilioni 4.
Licha ya kutofika katika Super Bowl tangu walipokwenda mara ya kwanza mwaka 1995, timu ya Jones inabaki kuwa juu ya wapinzani wake linapokuka suala la thamani kwa mujibu wa jarida la Forbes.
Real Madrid inazizidi kwa uthamani mahasimu wao wa Hispania, Barcelona na Manchester Unitedya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment