// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PIGO MAN UNITED, LUKE SHAW NJE MIEZI SITA BAADA YA KUVUNJIA MARA MBILI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PIGO MAN UNITED, LUKE SHAW NJE MIEZI SITA BAADA YA KUVUNJIA MARA MBILI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2015

    PIGO MAN UNITED, LUKE SHAW NJE MIEZI SITA BAADA YA KUVUNJIA MARA MBILI JANA

    KOCHA wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kwamba beki wake Luke Shaw atakuwa nje mwa muda usiopungua miezi sita baada ya kuumia jana katiia mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji PSV nchini Uholanzi.
    Katika mchezo huo ambao United ililala 2-1, Shaw alimwaga machozi wakati wanatolewa nje kutokana na uchungu wa maumivu makali kutokana na kuvunjika mguu wake wa kulia.
    Dunia ya soka iliungana usiku wa jana baada ya beki wa PSV Eindhoven, Hector Moreno kumvunja mara mbili mchezaji wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 20 mguu wa kulia.
    Shaw aliwekewa hewa ya ziada na kupatiwa huduma ya kwanza uwanjani mjini Eindhoven kabla ya kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Atarejeshwa Manchester leo na Alhamisi anatarajiwa kufanyiwa upasuaji.
    Beki wa Manchester United, Luke Shaw akiugulia maumivu baada ya kuumia mguu jana katika mchezo dhidi ya wenyeji PSV Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO MAN UNITED, LUKE SHAW NJE MIEZI SITA BAADA YA KUVUNJIA MARA MBILI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top