// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NYOTA SIMBA SC WAKILA 'BATA' BWAWANI NDANI YA HOTELI LA KIFAHARI TANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NYOTA SIMBA SC WAKILA 'BATA' BWAWANI NDANI YA HOTELI LA KIFAHARI TANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, September 14, 2015

    NYOTA SIMBA SC WAKILA 'BATA' BWAWANI NDANI YA HOTELI LA KIFAHARI TANGA

    Wachezaji wa Simba SC wakifurahia kwenye bwawa la kuogelea katika hoteli ya Tanga Beach Resort jana wakati wa mapumziko yao, kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya African Sports juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Simba SC walioendelea na mazoezi leo, watashuka tena dimbani keshokutwa kumenyana na JKT Mgambo kabla ya kurejea Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOTA SIMBA SC WAKILA 'BATA' BWAWANI NDANI YA HOTELI LA KIFAHARI TANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top