// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'MTU PESA' AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSHINDA KWA POINTI BERTO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'MTU PESA' AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSHINDA KWA POINTI BERTO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 13, 2015

    'MTU PESA' AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSHINDA KWA POINTI BERTO

    Bondia Floyd Mayweather (kulia) akimtupia konde mpinzani wake, Andre Berto katika pambano la asubuhi ya leo ukumbi wa MGM Grand Casino mjini Las Vegas, Marekani. 'Mtu Pesa', Mayweather ameshinda kwa pointi za majaji wote watatu na sasa amefikisha mapambano 49 akishinda yote PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'MTU PESA' AENDELEZA UBABE ULINGONI, AMSHINDA KWA POINTI BERTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top