Kiungo majeruhi wa Simba SC, Jonas Mkude akiwa jukwaani Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana timu yake ikishinda 2-0 dhidi ya JKT Mgambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kwa sasa, nafasi yake Mkude anacheza Mzimbabwe, Justuce Majabvi ambaye alifunga bao la kwanza jana.
Majabvi akishangilia baada ya kufunga jana. Je, Mzimbabwe huyo ataweza kumpokonya namba Mkude?
Kumbuka msimu uliopita Simba SC ilisajili Mrundi, Pierre Kwizera naye akaanza kucheza wakati Mkude majeruhi, ila mwenyewe alipopona akakomboa namba yake na Mrundi huyo akatemwa Msimbazi.
Kumbuka msimu uliopita Simba SC ilisajili Mrundi, Pierre Kwizera naye akaanza kucheza wakati Mkude majeruhi, ila mwenyewe alipopona akakomboa namba yake na Mrundi huyo akatemwa Msimbazi.
0 comments:
Post a Comment