// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MESSI APIGA LA USHINDI BARCA YANG’ARA UGENINI LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MESSI APIGA LA USHINDI BARCA YANG’ARA UGENINI LA LIGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 13, 2015

    MESSI APIGA LA USHINDI BARCA YANG’ARA UGENINI LA LIGA

    BARCELONA imepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Vicente Calderon.
    Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na Chelsea, Fernando Torres alianza kuwafungia wenyeji dakika ya 51, kabla ya Mbrazil, Neymar kuisawazishia barca dakika ya 55.
    Mwanasoka Bora wa Ulaya, Lionel Messi aliyeingia kuchukua nafasi ya Ivan Rakitic akaihakikishia Barca pointi tatu za ugenini kwa bao zuri dakika ya 77.
    Kikosi cha Atletico Madrid kilikuwa; Oblak, Juanfran, Gimenez, Godin, Filipe Luis, Oliver/Carrasco dk60, Gabi/Vietto dk81, Tiago, Koke, Griezmann na Torres/Martinez dk61.
    Barcelona; Ter Stegen, Sergi Roberto, Vermaelen/Mathieu dk26, Mascherano, Alba, Busquets, Rakitic/Messi dk59, Iniesta, Rafinha, Suarez na Neymar. 
    Lionel Messi aliingia kuchukua nafasi ya Ivan Rakitic na kuifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI APIGA LA USHINDI BARCA YANG’ARA UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top