// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU JANA KATIKA PICHA, AZAM FC V PRISONS NA AFRICAN SPORTS V SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU JANA KATIKA PICHA, AZAM FC V PRISONS NA AFRICAN SPORTS V SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 13, 2015

    MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU JANA KATIKA PICHA, AZAM FC V PRISONS NA AFRICAN SPORTS V SIMBA SC

    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akifumua shuti katikati ya mabeki wa Prisons Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Azam FC ilishinda 2-1
    Kiungo chipukizi wa Azam FC, Farid Mussa akimlamba chenga beki wa Prisons jana Chamazi
    Beki wa Simba SC, Hassan Kessy kulia akimtoka beki wa African Sports katika mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana. Simba SC ilishinda 1-0
    Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akiwatoka wachezaji wa Prisons
    Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi akimtoka beki wa Sports
    Nahodha wa Simba SC, Mussa Hassan Mgosi akimtoka beki wa Sports
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU JANA KATIKA PICHA, AZAM FC V PRISONS NA AFRICAN SPORTS V SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top