// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 05, 2015

    'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA!

    Shabiki wa timu ya taifa ya Tanzania akiwa amevalia vazi lenye ujumbe; "Umoja ni Ushindi Tanzania" kuwahamasisha wananchi wenzake kuiunga mkono timu ya taifa, Taifa Stars wakati wa mchezo wa Kundi G kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 dhidi ya Nigeria jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Timu hizo zilitoka 0-0

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: 'MANENO KUNTU", UJUMBE MWAFAKA KATIKA WAKATI MWAFAKA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top