// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED YAMUORODHESHA VALDES KUCHEZA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED YAMUORODHESHA VALDES KUCHEZA LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, September 03, 2015

    MAN UNITED YAMUORODHESHA VALDES KUCHEZA LIGI KUU ENGLAND

    KLABU ya Manchester United imemuorodhesha kipa wa zamani wa Barcelona, Victor Valdes katika kikosi chake cha wachezaji 25 watakaocheza Ligi Kuu ya England.
    Valdes ametengwa na kocha Louis Van Gaal baada ya mwalimu huyo kudai kwamba mlinda mlango huyo aligoma kuchezea timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 jambo ambalo lilimfanya atemwe kwenye ziara ya kujiandaa na msimu nchini Marekani.
    Tangu hapo, kipa huyo mwenye umri wa miaka 33 amekuwa akifanya mazoezi kivyake na alitarajiwa kusaini Besiktas mwishoni mwa wiki, lakini akiwa hoteli ya Uwanja wa Ndege wa Manchester tayari kwa safari ya kwenda kukamilisha uhamisho wake, dili likabuma na dirisha likafungwa.
    Victor Valdes (kulia) ameorodheshwa kikosi cha Manchester United kwa ajili ya Ligi Kuu ya England

    KIKOSI CHA MAN UNITED MSIMU WA 2015-2016

    Daley Blind, Michael Carrick, Matteo Darmian, Matteo, David de Gea, Marouane Fellaini, Ander Herrera, Sam Johnstone, Phil Jones, Will Keane, Jesse Lingard, Juan Mata, Marcos Rojo, Sergio Romero, Wayne Rooney, Morgan Schneiderlin, Bastian Schweinsteiger, Chris Smalling, Victor Valdes, Antonio Valencia, Guillermo Varela na Ashley Young.
    TIMU YA VIJANA U-21; Tyler Blackett, Cameron Borthwick-Jackson, Oliver Byrne, Joel Pereira, Zac Dearnley, Memphis Depay, Kayne Diedrick-Roberts, George Dorrington, Joshua Doughty, James Dunne, Sadik El-Fitouri, Ashley Fletcher, Timothy Fosu-Mensah, Sean Goss, Callum Gribbin, Liam Grimshaw, Ethan Hamilton, Josh Harrop, Dean Henderson, Andreas Pereira, Adnan Januzaj, Travis Johnson, Tosin Kehinde, Jake Kenyon, Donald Love, Faustin Makela, Anthony Martial, Paddy McNair, Scott Mctominay, Demetri Mitchell, Kieran O'Hara, Ben Pearson, Regan Poole, Nick Powell, Marcus Rashford, Oliver Rathbone, Devonte Redmond, Tyler Reid, Joe Riley, Joe Rothwell, Charlie Scott, Luke Shaw,  Axel Tuanzebe, Tyrell Warren, James Weir, Callum Whelan, Ro-Shaun Williams, Matt Willock, James Wilson 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YAMUORODHESHA VALDES KUCHEZA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top