// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN UNITED YACHINJA JOGOO, YAITANDIKA LIVERPOOL 3-1 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN UNITED YACHINJA JOGOO, YAITANDIKA LIVERPOOL 3-1 OLD TRAFFORD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 12, 2015

    MAN UNITED YACHINJA JOGOO, YAITANDIKA LIVERPOOL 3-1 OLD TRAFFORD

    Mshambuliaji wa Mchester United, Anthony Martial akishangilia baada ya kuifungi timu yake katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Old Trafford usiku huu.Mabao ya United yamefungwa na Daley Blind dakika ya 49, Ander Herrera dakika ya 70 kwa penalti na Anthony Martial dakika ya 65, wakati la Liverpool limefungwa na Christian Benteke dakika ya 86. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN UNITED YACHINJA JOGOO, YAITANDIKA LIVERPOOL 3-1 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top