
Mshambuliaji wa Bayern Munich, Robert Lewandowski akionyesha mkono juu baada ya kufunga mabao mabao yote matano katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Wolfsburg Ligi Kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga. Lewandowski alifunga dakika ya 51, 52, 55, 57 na 60 baada ya kutokea benchi kipindi cha pili, wakati bao pekee la Wolfsburg limefungwa na Daniel Caligiuri dakika ya 26 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment