// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); IKO WAPI JEZI NZURI HAPA, LIKO WAPI POZI LA SOKA KATIKA VIKOSI HIVI VIWILI? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE IKO WAPI JEZI NZURI HAPA, LIKO WAPI POZI LA SOKA KATIKA VIKOSI HIVI VIWILI? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, September 13, 2015

    IKO WAPI JEZI NZURI HAPA, LIKO WAPI POZI LA SOKA KATIKA VIKOSI HIVI VIWILI?

    Juu; Kikosi cha Yanga SC kilichoshinda 2-0 leo dhidi ya Coastal Union ya Tanga Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na chini kikosi cha Simba SC kilichoshinda 1-0 dhidi ya African Sports Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana katika mechi za ufunguzi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Timu zote, Simba na Yanga ambao ni watani wa jadi, wanatumia jezi mpya msimu huu walizotoa hivi karibuni. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: IKO WAPI JEZI NZURI HAPA, LIKO WAPI POZI LA SOKA KATIKA VIKOSI HIVI VIWILI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top