// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DUME LANG'OLEWA KAMATI YA SOKA YA WANAWAKE, AMINA ACHUKUA NAFASI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DUME LANG'OLEWA KAMATI YA SOKA YA WANAWAKE, AMINA ACHUKUA NAFASI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2015

    DUME LANG'OLEWA KAMATI YA SOKA YA WANAWAKE, AMINA ACHUKUA NAFASI

    KIKAO cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichofanyika Septemba 06, mwaka huu kilifanya mabadiliko madogo ya kamati zake ndogo ndogo.
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Blassy Kiondo aliyekua Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Wanawake ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Ufukweni na Sakafuni (Beach Soccer and Futsal).
    Amina Karuma ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake nchini (TWFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la Wanawake.
    Amina Kalum (kulia) akiwa na Rais wa TFF, Jamal Malinzi
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DUME LANG'OLEWA KAMATI YA SOKA YA WANAWAKE, AMINA ACHUKUA NAFASI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top