![]() |
Chuchu kulia akiwa na Vincent Kigosi 'Ray' |
Akizungumza na SALUTI5 Chuchu amesema, sanaa na siasa vina uhusiano mkubwa na kwamba mtu anapojitumbukiza kwenye sanaa tu anakuwa tayari ni mwanasiasa hata kama hajatangaza nia.
“Mi nafikiri ni mawazo duni tu ya baadhi ya wenzetu kudai kuwa, msanii kuingia kwenye siasa ni kuishiwa,” alisema Chuchu Hans huku akibainisha kuwa binafsi, yeye ni mwanasiasa.
0 comments:
Post a Comment