
Mshambuliaji Karim Benzema akiteleza chini kushangilia baada ya kuifungia mabao yote Real Madrid ikishinda 2-1 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa San Mames. Bao la Bilbao lilifungwa na Sabin Merino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment