// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
BARCELONA BILA MESSI KUWAVAA BAYER LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEBARCELONA BILA MESSI KUWAVAA BAYER LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BARCELONA BILA MESSI KUWAVAA BAYER LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA
MECHI ZA LIGI YA MABINGWA LEO NA KESHO
Jumanne Septemba 29, 2015
Barcelona Vs Bayer 04 Leverkusen
BATE Borisov Vs Roma
FC PortoVs Chelsea
Bayern Munich Vs Dinamo Zagreb
Arsenal Vs Olympiakos
Lyon Vs Valencia CF
Maccabi Tel Aviv Vs Dynamo Kyiv
Zenit St Petersburg Vs AA Gent
Jumatano Septemba 30, 2015
FC Astana v Galatasaray
CSKA Moscow Vs PSV
Juventus Vs Sevilla
Borussia Monchengladbach Vs Manchester City
Malmo FF Vs Real Madrid
Manchester United Vs VfL Wolfsburg
Atletico MadridVs Benfica
Shakhtar Donetsk Vs Paris Saint-Germain
Barcelona watamkosa Lionel Messi leo wakiikaribisha Bayer Leverkusen Uwanja wa Camp Nou
HATUA ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, inaendelea leo na kesho, huku mabingwa watetezi, Barcelona wakiikaribisha Bayer 04 Leverkusen Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona, Hispania.
Katika mchezo huo, Barcelona watamkosa nyota wake, Lionel Messi aliyeumia mwishoni mwa wiki katika mchezo wa La Liga ikishinda 2-1 dhidi ya Las Palmas Barcelona, lakini hapana shaka Neymar na Luis Suarez watawabeba wababe hao wa Katalunya.
BATE Borisov watakuwa wenyeji waRoma Uwanja wa Borisov Arena, Chelsea wataifuata FC Porto Uwanja wa Dragao, Bayern Munchen wataikaribisha Dinamo Zagreb Uwanja waAllianz Arena, Arsenal wataikaribisha Olympiakos Uwanja wa Emirates, Lyon wataikaribisha Valencia Uwanja waStade de Gerland, Maccabi Tel Avivwataikaribisha Dynamo Kyiv Uwanja wa Bloomfield na Zenit St Petersburg wataikaribisha KAA Gent Uwanja wa Petrovski.
Messi aliumia mwishoni mwa wiki katika mchezo wa La Liga ikishinda 2-1 dhidi ya Las Palmas Barcelona
Michuano hiyo itaendelea kesho FC Astana ikiikaribisha GalatasarayUwanja wa Astana Arena, CSKA Moscow ikiikaribisha PSV Uwanja wa Arena Khimki, Juventus ikiikaribisha Sevilla Uwanja wa Juve, Borussia MonchengladbachikiwakaribishaManchester City Uwanja wa Borussia-Park, Malmo FF ikiwakaribisha Real Madrid Uwanja wa Swedbank, Manchester Unitedikiwakaribisha VfL Wolfsburg Uwanja wa Old Trafford, Atletico de Madridikiwakaribisha Benfica Uwanja wa Vicente Calderon na Shakhtar Donetsk wakiwakaribishaParis Saint-GermainUwanja wa Lviv.
Mostbet Türkiye Mobil Uygulamasını Indi
-
Mostbet Türkiye Mobil Uygulamasını Indir En İyi Bahis Empieza Online
Casino Platformu Content Mostbet’te Pasta” “oyunları Bir Kumarhane Için
Depozitoda ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment