// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ARSENAL WANG’ARA LIGI KUU ENGLAND, WAICHAPA STOKE CITY 2-0 EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ARSENAL WANG’ARA LIGI KUU ENGLAND, WAICHAPA STOKE CITY 2-0 EMIRATES - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, September 12, 2015

    ARSENAL WANG’ARA LIGI KUU ENGLAND, WAICHAPA STOKE CITY 2-0 EMIRATES

    WASHIKA Bunduki wa London wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stoke City Uwanja wa Emirates, London. 
    Theo Walcott aliifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 30 kabla ya Olivier Giroud aliyetokea benchi kufunga bao la pili zikiwa zimebaki dakika tano.
    Kikosi cha Arsenal kilikuwa; Cech, Bellerin, Koscielny, Gabriel, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil/Oxlade-Chamberlain dk83, Sanchez/Arteta dk83 na Walcott/Giroud dk75.
    Stoke; Butland, Bardsley, Cameron, Muniesa, Pieters, Van Ginkel, Whelan, Shaqiri, Arnautovic, Joselu/Ireland dk57 na Diouf/Bojan dk75.
    Olivier Giroud ametokea benchi na kuifungia Arsenal bao la pili Uwanja wa Emirates  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL WANG’ARA LIGI KUU ENGLAND, WAICHAPA STOKE CITY 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top