// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ALAN WANGA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC IKIILAZA 2-0 STAND UNITED SHINYANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ALAN WANGA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC IKIILAZA 2-0 STAND UNITED SHINYANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, September 16, 2015

    ALAN WANGA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC IKIILAZA 2-0 STAND UNITED SHINYANGA

    MATOKEO MECHI ZA LIGI KUU TZ BARA LEO
    Yanga SC 3-0 Prisons
    Mgambo JKT 0-2 Simba SC
    Majimaji FC 1-0 Kagera Sugar
    Mbeya City 3-0 JKT Ruvu
    Stand United 0-2 Azam FC
    Toto Africans 1-2 Mtibwa Sugar
    Ndanda FC 1-0 Coastal Union
    Mwadui FC 2-0 African Sports
    Alan Wanga amefunga bao lake la kwanza baada ya mechi mbili leo Azam FC

    AZAM FC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada kuwalaza mabao 2-0 wenyeji Stand United Uwanja wa Kambarage, Shinyanga jioni ya leo.
    Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo, mshambuliaji wa Kenya, Alan Watende Wanga na kiungo mzalendo Frank Rymond Domayo.
    Huo ushindi wa pili mfululizo kwa Azam FC ya kocha Muingereza Stewart Hall, baada ya awali kuichapa Prisons ya Mbeya 2-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Katika mechi nyingine za Ligi Kuu leo, Yanga SC imeialza 3-0 Prisons Dar es Salaam, Simba SC imeifunga 2-0 Mgambo JKT Tanga, Majimaji FC imeifunga 1-0 Kagera Sugar Songea, Mbeya City imeichapa 3-0 JKT Ruvu Mbeya, Toto Africans imefungwa 2-1 na Mtibwa Sugar Mwanza, Ndanda FC imeialza 1-0 Coastal Union Mtwara na Mwadui FC imeshinda 2-0 dhidi ya African Sports.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALAN WANGA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO AZAM FC IKIILAZA 2-0 STAND UNITED SHINYANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top